Kama unakumbuka miaka ya nyuma, mkali wa game toka maeneo ya Temeke Dar es Salaam, Juma Nature aliwahi kudondosha hit kali kabisa ambayo ilifanya poa sana miaka hiyo, ngoma hiyo iliitwa ‘Hili Game‘.
Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe karudi na mzigo ambao ameupa jina linalofanana na hilo mtu wangu, ‘Hili Game‘- Jay Moe Feat. Deddy.

No comments:
Post a Comment