Friday, 20 November 2015

Tinashe anaisogeza nyingine kutoka kwenye Album yake mpya; 'Party Favors' - (Video)!

Baada ya kuweka headlines kubwa na single ya Player (feat. Chris Brown), msanii wa muziki wa R&B kutoka MarekaniTinashe amerudi na nyingine kubwa kwa ajili yako weekend hii.

Wimbo unaitwa Party Favors na single hii pia itapatikana kwenye Album mpya ya Tinashe, Joyride inayotegemea kuwa sokoni January 2016. Wimbo wa Player bado unaendelea kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za countdownMarekani ikiwemo pia kwenye chati ya Billboard 200.

TINASH1

Official music video ya Party Favors ipo hewani tayari na japo kuwa Young Thug ndiye aliyefanya feature kwenye audio version ya wimbo huu, kwa bahati mbaya kwenye video hii Young Thug haonekani.


No comments:

Post a Comment