Kama ulikuwa hufahamu, Ja Rule aliwahi kugawa zawadi za condom zenye jina lake na jina la wimbo wake ‘Ja Rule: Thug Lovin’ kama njia nyingine ya kupromote ngoma yake mwaka 2002… na kwenye interview niliyokutana nayo Ja aligusia kwanini aliamua kugawa zawadi ya namna hiyo…
>>> “ Kipindi hicho wakati HipHop ilikuwa HipHop, tulikuwa tunatoa zawadi za kupromote kazi zetu kwenye radio, na kwa DJ’s ambao kwa asilimia kubwa walikuwa wanasaidia kutegeneza attention ya ngoma zetu kwa kuzipiga kwenye Club mbalimbali… sasa nilipoachia ngoma ya Thug Lovin, hiyo ilikuwa moja ya zawadi za promotion nilizokuwa nagawa, ‘Ja Rule: get your Thug Lovin’condoms ili single yangu ichezwe…” <<< Ja Rule.
Kwa mujibu wa mtandao wa Complex, inasemekana kuwa wimbo wa Ja Rule,Thug Lovin ndio uliomrudisha Bobby Brown kwenye game baada ya kupotea kwenye headlines za muziki Marekani.


No comments:
Post a Comment