Friday, 20 November 2015

Ikumbuke na hii kwenye playlist yako, Monica 'Code Red' feat. Missy Eliott - (Audio).

Baada ya kuisogeza kwetu Just Right for me (feat. Lil Wayne), moja ya singles 14 zitakazopatikana kwenye Album yake mpya ‘Code Red’Monicaamerudi tena kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani.

Weekend hii Monica anaungana na rafiki yake wa siku nyingi kimuziki, Missy Eliott na pamoja wanakuletea ‘Code Red’ wimbo ambao pia unabeba Album mpya ya Monica.

MONI

Imepita miaka mitatu toka msanii wa muziki wa R&B kutoka MarekaniMonica aisogezee kwetu Album mpya, good news ni kwamba ‘Code Red’ inategemea kuwa sokoni tarehe 04 December 2015.

Kama bado hujakutana na mdundo mpya wa Monica, bonyeza play hapa chini kuinasa moja kwa moja.


No comments:

Post a Comment