Thursday, 19 November 2015

Billboard imetoa list ya rappers wakali duniani... lakini Snoop Dogg ameichukuliaje list hiyo!?


Baada ya mtandao wa Billboard kuachia orodha yao ya 10 Greatest Rappers Of All Time, kumekuwa na maneno mengi sana kwenye mitandao ya kijami kuhusu 2 Pac, Kanye West na Drakekutokutajwa kwenye orodha hiyo.

Billboard hawakukaa kimya, walitoa sababu za kwanini watu kama Kanye Westna 2 Pac hawakuepo kwenye orodha hiyo, sababu kubwa iliyogusiwa ni kwamba vigezo viliyotumika ni kuangalia nani ni MC  bora zaidi na sio nani ni msanii bora zaidi!

doog2

Lakini kuna baadhi ya watu bado wanadai kuwa kutemwa kwa 2 Pac kwenye orodha hiyo ni kitendo kinachoshusha heshima ya muziki wa HipHop Marekani na mmoja ya wasanii hao ni Snoop Dogg!

doog3

Snoop Dogg kaamua kusema yake kupitia page yake ya Instagram kwa kupost picha ya orodha hiyo na caption ya maneno inayosema…

>>>”This is so disrespectful. !!” the Long Beach, California rapper writes under an image of Billboard’s list. “Whoever did this list need a swift kick in the A**. No. Tupac. Come on cuz ?. Jus my opinion.” <<< Snoop Dogg.

doog

Je, wewe unaonaje mtu wangu? ni sahihi kwa Billboard kutokumtaja 2 Packama miongoni ya rappers/ Mc’s 10 bora wa duniani!? Ni kweli 2 Pac hakuwa MC mkali?

No comments:

Post a Comment