Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha
uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania
wamemkubali kama mtu wao.Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.
read more...
No comments:
Post a Comment